Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Nilikuwa najiuliza hivi ni kwanini kwenye ukoo wetu kila mtoto wa kwanza lazima afe.
Mm mwenyewe ni wapili kuzaliwa kwenye familia na inamaana wa kwanza alikufa na mm wenyewe nimekuwa kwa misukosuko mingi sana. na mtoto wangu wa kwanza alifariki.
Na bado nina marafiki zangu kibao watoto wao wa kwanza hawako sawa kiakili na kimwili.
Daaah mkuu tafadhali nenda kavunje hizo roho..mababu zako wamewatoa wazawa wa kwanza kwa mizimu hivyo basi usipochukua hatua ya kuvunja roho hizo itaendelea hadi kwa wanao.
 
Hizo roho nazifunjaje mkuu
Kwanza nikupe pole mkuu..
Wala usijali haya mambo yapo mengi sana kwenye jamii yetu na nauhakika wengi humu inawatesa.
So kwanza mkuu kuna njia mbili za kuvunja..Moja Moto uuzime kwa moto (Kwa waganga) au moto uuzime kwa maji.(Mungu)
Kila njia inamatokeo yake.
I assume you are a believer of God The first Mover and the first existence.
So obviously utachagua njia ya moto kwa maji.....But you can choose njia uipendayo
Naomba nijue kwanza imani yako ili nikupe tips za kufanya kutokana na Imani yako
 
Kwasasa mm sina imani yoyote nipo nipo tu.
 
Still there's chance..ni wewe kuamua tu mkuu. Ukipenda niambie tufanye kwa kupitia RC. Mungu anawanyeshea Mvua wote waamini na wasio waamini
Je kanisa katoliki lina misa km zile za makanisa ya kiroho kuombea watu wa aina km hii uliyosema? Km wanayo utaratibu ukoje na km hawana waumini wa kikatoliki tuna solve vipi issue km hz ?
 
Hivi hatuwezi jadili mambo ya kawaida mpaka tuchukue reference kwenye biblia? KWELI WASOMI WETU WANAMATATIZO
 
Je kanisa katoliki lina misa km zile za makanisa ya kiroho kuombea watu wa aina km hii uliyosema? Km wanayo utaratibu ukoje na km hawana waumini wa kikatoliki tuna solve vipi issue km hz ?
Zipo...Hasa hua ni za Charismatic Catholic. Pia kunakuaga na maeneo maalumu kabisa mabapo misa na maombezi hufanyika. Nitakutajia baadhi ya maeneo nifahamuyo..
  • Dar es Salaam
--Mbezi louis kibanda cha mkaa
-Ubongo nyuma ya Stand
-Bunju
  • Arusha
Chini ya kanisa Katoliki la Unga Limited kinaitwa St Joseph
  • Kigoma
Parokia ya Katubuka..

Lakini pia kuna kitu kinaitwa Novena inaweza saidia
 
Ahsante Sana
 
Unakuta mtu ni wa kwanza ila nyuma ya pazia mimba kama 4 zimeshachomolewa na bi mdashi wake,inawahusu nao wa kwanza wa aina hii??
 
Back
Top Bottom