Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina mkuu Da VinciPambana sana Mungu yuko nawe Ufunguo wa maisha yako kiroho na kiamwili upo mikononi mwako.
ni wewe kusema tu MUNGU NAOMBA
Me ni first born pia.
Unachokiongea ni Kweli mkuu .mimi ni wa 12 kwa mzee lakini wa kwanza kwa mama naona hasa maana ya kuwa first born....wadogo zangu hawawezi ambia wakubwa zangu shida zao ila mimi..but thanks to God kiasi fulani nimeitendea Haki nafasi yanguMkuu as long as unajitambu kua wewe ndio mkubwa katika familia yenu basi hii inakuhusu. Haijalishi kwa mama au kwa baba.. Ilimradi una watu wanaokuita dada ua kaka.
Lakini kwa mujibu wa nukuu zangu za Holly Scriptures najua kwamba kipindi hicho Mussa anapewa agano hilo ilikua ni aghalabu ntu kuzalia nje. Bila ndoa.
so Ndio maana sheria ilikua specific mno kua mzawa wa kwanza wa familia ya ndoa kwakua walikua hawazai bila ndoa.
Mambo yanabadirika Mungu analegeza sometimes ili kuendana na wanawe
Hongera sana mkuu, ukiona umeweza kusimama katika nafasi yako as first born shukuru sanaUnachokiongea ni Kweli mkuu .mimi ni wa 12 kwa mzee lakini wa kwanza kwa mama naona hasa maana ya kuwa first born....wadogo zangu hawawezi ambia wakubwa zangu shida zao ila mimi..but thanks to God kiasi fulani nimeitendea Haki nafasi yangu
Asante kwa andiko maridhawa mkuuHongera sana mkuu, ukiona umeweza kusimama katika nafasi yako as first born shukuru sana