Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Hivi kwa mfano akina sisi ambao kaka/dada yangu alizaliwa kwa mama mwingine,halafu akaolewa mama yangu na mimi nikazaliwa wa kwanza kwake,hapo vipi,nani mwenye baraka za mtoto wa kwanza,yule mkubwa wangu aliyezaliwa na mama mwingine au mimi?
 
Noted👏👏
 
Anajua kabisa roho yako hawezi kuifikia kwakua ni roho yenye Uungu hivyo atautumia mwili wako zaidi kuua roho yako yenye potential hapa duniani, Akishauharibu mwili roho inabaki haiwezi tena na inakua rahisi kuipeleka roho nje ya kusudi kuu la mungu maana roho inahitaji mwili kutenda.Hii nimeipenda sana...
 
Pamoja sana kiongozi.
Ningependa kupewa maswali mengi zaid juu ya jambo hili ili watu wajifunze
 
somo murua sana hili. je, kwa wale walio wazaliwa wa pili, tatu na kuendelea hawafai kumrudia muumba wao, maana nao ni wengi waliopotea???
 
Hongera kama wazazi wameweza kukutegemea japo kipato hakitoshi. Ni vita kubwa ya kiroho wamepambana nawe pia umepambana bila kujijua maybe hadi wewe umefika hapo.

Kuna wazazi wengi watoto zao wa kwanza hawawezi hata kuwategemea kwa ushauri maana mshale wa dira upo kusini badala ya kaskazini yaani kama ni dish la kiroho lilishaaguka kabisa no chanel.

Maan mtoto wa kwanza ni vuno bora linalotafutwa na Muumba pamoja na ibirisi. Wote hao wanakuwinda wachukue hesabu yako kwako.. Ibilisi anapiga kichwa cha familia/first born ili familia iivurugike na Mungu anataka akiongeze kichwa cha familia ili familia isipalanganyike. Kama mzazi au mzaliwa wa kwanza usipojitambua utaishia kubaya.

Hongera sana kwa hilo maana tambua kwamba Mafanikio yako si ajili yako bali kwa ajili ya wae walio nyuma yako. Siku moja kidogo hicho kitaongezeka usivunjike moyo✊

Tembea na kanuni hii... Family- Duty- and Honor

Family always come first
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…