Mkono wa Bwana uwe pamoja na wazawa wote wa kwanza. Sisi ndio njia ya mafanikio au uharibifu wa wadogo zetuPia ktk changamoto za mtoto wa kwanza ni pamoja na kukosea
Ndio maana wazazi huwa wakali kwa wazaliwa wa kwanza maana akikosea wanaomfuata wote pia hukosea au kutoka nje ya mstari
Shime vijana waliomo humu waelewe mtoto wa kwanza ni kioo cha wengine wote watakaofuata na ndio maana kila uchao viongozi wa dini utasikia tuwaombee uzao wa kwanza!
Amen and amenMkono wa Bwana uwe pamoja na wazawa wote wa kwanza. Sisi ndio njia ya mafanikio au uharibifu wa wadogo zetu
Hawaelewi, na wametupa sana kazi mpk sasa ya kufuta maneno waliyotutamkia tukiwa tunakua!Hili jambo wazazi wengi awaelewi, wazazi wengi hasa kina mama ndio uua destiny ya maisha ya watoto wao kupitia kutamka maneno.
Neno lolote ni roho kamili inayoishi. Ndo maana kupitia tu kutamka.kwa Jina la Yesu Kristo.. nakuamuru toka, simama, inuka, potea hakuna cha mchawi, wala jini atakaebakia hapo.
Wanawake wa kiafrica awajui malezi ndo maana waafrika ni masikini kupitia vinywa vya kina mama. Mdomo ni mlango wa laana au baraka za maisha yako.
Zaburi 40[emoji120]naipendaNalimngoja bwana kwa zaburi, akaniiambia, akakisikia kilio changu. Akanipandisha toka shimo la uharibufu...akaisimamisha miguu yangu na akaziimarisha dua zangu
Sisi ndo makamu wazaziSisi wa kwanza tuna baraka za asili
Mmh mkuu!Obviously mzaliwa wa kwanza huwa Mwanaume hata kama katanguliwa na wakike unless kusiwe na mtoto wa kiume
client3
Hapana kwa cheo wewe sio,wa kwanza ni dada yako tu aliyetangulia kuzaliwa, huwezi chukua hiyo nafasi!Mimi ni nimetanguliwa na Dada zangu wawili,je Mimi ni mzaliwa wa Kwanza?
Kumrudia Mungu ni kwa yoyote haijalishi umezaliwa wa ngapi mkuu!somo murua sana hili. je, kwa wale walio wazaliwa wa pili, tatu na kuendelea hawafai kumrudia muumba wao, maana nao ni wengi waliopotea???
Hilo somo ni pana sana.Hivi kwa mfano akina sisi ambao kaka/dada yangu alizaliwa kwa mama mwingine,halafu akaolewa mama yangu na mimi nikazaliwa wa kwanza kwake,hapo vipi,nani mwenye baraka za mtoto wa kwanza,yule mkubwa wangu aliyezaliwa na mama mwingine au mimi?
Yes ndo mpango wa Mungu ,wa kwanza ànapewa cha kwake na cha ziada kwa ajili ya ndugu zake!Kha!kha!,Hizo baraka mlizonazo zitatosha kutugawia na sisi vitinda mimba Kweli??.
Yes lkn angalia uhalisia wa wazaliwa wa 1 wengi walivyochoka?(sio wote)Sisi wa kwanza tuna baraka za asili
Yes yes kumbe na ww unamfuatilia!Somo zuri Sana Mkuu, umenikumbusha mbali sana Mwalimu C. Mwakasege alishuka Bondo Sana eneo hili. Ubarikiwe Sana Mkuu Kwa upako wa jioni ya leo, umeniongezea nguvu za rohoni
Lkn haiondoi uzaliwa wa kwanza wa cheo,haki,imani....Umeelezea vizuri ila kwa wakristo, mzaliwa wa kwanza ni Yesu na sisi wote tunakuwa wazaliwa tunaofuata , kwaiyo ukimwamini kristo unakuwa huesabiki km mzaliwa wa kwanza .
Kumbe tupo wengi!Me ni first born pia.
Nitarudi kuusoma Uzi kwa utulivu baadaye..
Manaake kwa mama yako we ni mzaliwa wa kwanza! Haukwepi hapaUnachokiongea ni Kweli mkuu .mimi ni wa 12 kwa mzee lakini wa kwanza kwa mama naona hasa maana ya kuwa first born....wadogo zangu hawawezi ambia wakubwa zangu shida zao ila mimi..but thanks to God kiasi fulani nimeitendea Haki nafasi yangu
Kwasbb ndo hali halisi,mzaliwa wa 1 ni lango linalopitisha uzuri na uharibifu piaHalafu kinachoumiza zaidi ni pale ambapo unakua unapokea lawama kua wewe ndio chanzo cha matatizo ya wengine pale wanapofanya ndivyo sivyo
Sawa bosi.Yes ndo mpango wa Mungu ,wa kwanza ànapewa cha kwake na cha ziada kwa ajili ya ndugu zake!