Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #421
Mkono wa Bwana uwe pamoja na wazawa wote wa kwanza. Sisi ndio njia ya mafanikio au uharibifu wa wadogo zetuPia ktk changamoto za mtoto wa kwanza ni pamoja na kukosea
Ndio maana wazazi huwa wakali kwa wazaliwa wa kwanza maana akikosea wanaomfuata wote pia hukosea au kutoka nje ya mstari
Shime vijana waliomo humu waelewe mtoto wa kwanza ni kioo cha wengine wote watakaofuata na ndio maana kila uchao viongozi wa dini utasikia tuwaombee uzao wa kwanza!