Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Yah nakumbuka mwl. Mwakasege alishafundisha sana kuwa mtoto wa kwanza ni Lango.

Da vincci shukran kwa chakula cha akili
Ahsante je mnaweza kunipa source nami nikamsome huko alipofundiasha.? Sijawahi sikiliza mafunzo yake
 
Unachokiongea ni Kweli mkuu .mimi ni wa 12 kwa mzee lakini wa kwanza kwa mama naona hasa maana ya kuwa first born....wadogo zangu hawawezi ambia wakubwa zangu shida zao ila mimi..but thanks to God kiasi fulani nimeitendea Haki nafasi yangu
 
Hongera sana mkuu, ukiona umeweza kusimama katika nafasi yako as first born shukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…