Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Halafu kinachoumiza zaidi ni pale ambapo unakua unapokea lawama kua wewe ndio chanzo cha matatizo ya wengine pale wanapofanya ndivyo sivyo
Pole sana mate ila hongera umejua kua umeanguka ni mwanzo mzuri..siku zote hua tunaanguka ili tuweze kusimama na kusonga vyema na kikakamavu kuliko mwanzo.
Je wapi ulipojikwaa ukaanguka.?
 
Barikiwa sana Mtumishi japokuwa mimi siyo mzaliwa wa kwanza lkn nimepata somo kwa mzaliwa wangu wa kwanza. Asante sana sana sana.
 
Mada mzuri ila tatizo imejikita zaidi ktk marejeo ya ukristo kristo, utadhani watu wote humu wanaamini ukristo. Na shida zaidi ni pale mtu mwengine anapoanzisha mada akatolea mifano ya Qur an watu humshambulia kumuona mdini mbaguzi.
 
Kwakweli mnisamehe najitahidi ila Quran siijui sana so nitakua ninadanganya tu. Cha msingi mtu achukue maelezo yaliyomgusa natumaini kwenye Quran imeeleza pia sema ndio sina ujuzi napo.
Sorry sana
 
Barikiwa sana Mtumishi japokuwa mimi siyo mzaliwa wa kwanza lkn nimepata somo kwa mzaliwa wangu wa kwanza. Asante sana sana sana.
Daah. Mkuu..
mimi sio mtumishi kabisa ni mlei kama wengine tu
Ila ahsante kwa shukrani..Much bless to wewe mate
 
Naona umejikita zaidi kwa upande mmoja kwa wale waliopoteza nafas zao za uzaliwa wa kwanza na kusetwa na ibilisi aidha kimwili na Kiroho wanakuwa formatted na Roho mtakatifu na Yesu, how about Jesus and Holy split unbelievers? Wao wanakuwa formatted na nini/nani?

JamiiForums mobile app
 
Andiko lako limenigusa sana.
Katika familia yetu ni mimi ndo nmeshambuliwa kwa kiasi kikubwa na nguvu za giza.
Mwokozi bado nakutumainia wewe.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mada mzuri ila tatizo imejikita zaidi ktk marejeo ya ukristo kristo, utadhani watu wote humu wanaamini ukristo. Na shida zaidi ni pale mtu mwengine anapoanzisha mada akatolea mifano ya Qur an watu humshambulia kumuona mdini mbaguzi.
Ondoa shaka Ndugu yangu mpendwa. Mada imewalenga Wazaliwa wa Kwanza ambao wapo pande zote. Muumba wetu ni mmoja tunaemwabudu na yeye hana Dhehebu.

Nikupe tu mfano rahisi: Safari toka Dom kwenda Dar, wako watakaosafiri kwa basi, watakaoruka kwa ndege, watakaotumia pikipiki na hata watakaotumia miguu. Hao wote watamaliza safari yao salama kufika Dar. Ndivyo ilivyo ktk kufika kwa Muumba wetu.
 
Wengi wape mkuu..
Siwezi lizisha wote..ningekua naweza ningebalance na kwa wasio amina. Ila point to ponder is Shetani ndio adui wa mafanikio ya wazaliwa wa kwanza
 
Andiko lako limenigusa sana.
Katika familia yetu ni mimi ndo nmeshambuliwa kwa kiasi kikubwa na nguvu za giza.
Mwokozi bado nakutumainia wewe.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Pole sana mate
Bado hujachelewa unaweza kufanya mambo yakawa sawa kabisa
 
vin na sisi last born tufungulie uzi tukianzia kwa Yusuph.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…