Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Kikubwa ni kuvaa silaha za imani na kumuomba sana MUNGU maana shetani na jeshi lake ni waharibifi sana
 
Mkuu as long as unajitambu kua wewe ndio mkubwa katika familia yenu basi hii inakuhusu. Haijalishi kwa mama au kwa baba.. Ilimradi una watu wanaokuita dada ua kaka.

Lakini kwa mujibu wa nukuu zangu za Holly Scriptures najua kwamba kipindi hicho Mussa anapewa agano hilo ilikua ni aghalabu ntu kuzalia nje. Bila ndoa.
so Ndio maana sheria ilikua specific mno kua mzawa wa kwanza wa familia ya ndoa kwakua walikua hawazai bila ndoa.

Mambo yanabadirika Mungu analegeza sometimes ili kuendana na wanawe
hiv ni kweli walikuwa hazai bila ndoa? maana Yakobo alizaa na wanawake wanne sijui kama wote alifunga nao ndoa
 
hiv ni kweli walikuwa hazai bila ndoa? maana Yakobo alizaa na wanawake wanne sijui kama wote alifunga nao ndoa
Mate itategemeana ndoa unaitafsiri vipi kwamba ni nini....
yakobo kachunga mifugo kwa miaka 14 akapata wake wake wawili baada ya kuhitilafiana na mkwewe. kutokana na matatizo ya uzazi kwa tamaduni za kale hata huko mara tamaduni hizo zipo. mtu unaweza kutafuta mwanamke akazaa badala yako. na mtoto huyo anakubalika kua ni wako kihalali mbele ya Mungu, ndivyo walivyofanya wake wa yakobo
 
oky kwa hiyo kibibilia mke wangu akinitafutie mwanamke nikazaa nae huyo mtot anakubalika mbele za Mungu ila nikitafuta mwenyewe mwanamke nikizaa nae mtot hakubaliki
 
oky kwa hiyo kibibilia mke wangu akinitafutie mwanamke nikazaa nae huyo mtot anakubalika mbele za Mungu ila nikitafuta mwenyewe mwanamke nikizaa nae mtot hakubaliki
Kipindi hiki kama unaenda kwa misingi ya kiMungu basi sio sahihi na haifai tena njia hiyo..kama unaenda kimila basi ni sahihi. nia hiyo ya kutafuta mwanamke akuzali.
logic sio ni nani kakutafutia huyo mwanamke, bali makubaliano ya nuie wanandoa na yule unayetaka kuza nae.
NB. njia hiyo ni kwa mwanaume tu, mwanamke hawezi tafuta mwanaume mwingine ili amzalie mumewe. kimila na kiMungu haikubaliki
 
TUMIA HIZO FORMATING STYLE HAPO JUU
kuandika kwa bold hivi unafanyaje ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot (65).png
 
Last born hatui dafu kwa first born ndugu!
Uliza utaambiwa, fanya tafiti utagundua..hawa ni zaidi ya kudekezwa.
Mimi first born ila sijaona hayo madekezo hata siku moja upande wangu.. sana inanibidi nikomae maana wengi wananikodolea macho
 
Back
Top Bottom