Habari mkuuz mimi natafuta vijana wa kufanya Direct Sales ya Products za YAS kama vile 5G Routers, SME & Corporate packages kwa makampuni na watu binafsi. Pamoja na bidhaa zingine za YAS Business.
Kwa ambao wapo tayari na kwa maelezo zaidi wanaweza kunicheki through 0717016789 Malipo ni Transport Allowance kwa mwezi, Commission pamoja na Muda wa maongezi.