Je, Wewe ni mzaliwa wa ngapi? Ona majukumu na wajibu wako

Je, Wewe ni mzaliwa wa ngapi? Ona majukumu na wajibu wako

Kwa wana wa Israel, Yuda alikuwa wa nne, soma Biblia kitabu cha Mwanzo 35:22-23 na 49:8, alitanguliwa na Ruben, Simeon na Lawi.
OK. .. kumbe ndio maana yuda alimaindi mshiko hadi kumsaliti master. ...
 
wewe ni fremason bila shaka

Mi siamini kitu chochote chenye dogma....dogma ni mawazo ya mtu mmoja kayakusanya kwenye kitabu wengine wote msome na kufuata alichoandika yeye...

Kwahiyo hutaishi kwa kutumia akili yako bali utafuata akili ya huyo mtu aliekuandalia hicho kitabu..

Dini ina dogma,freemansory ina dogma pia,sifati chochote hapo
 
BASI ANZISHA DINI YA IMANI YAKO
 
kuna mambo ya nyota... ya 1-12 nadhani huyu jamaa ameelezea kulingana na nyota zilivyopangiliwa... hivyo katika kila nyota na tafsiri yake kwa maisha ya mwanadamu yalivyo..
 
Mi ni wa pili na ni mwalimu japo mwanzo sikuipenda kazi now naifurahia,ila nafasi hiyo unahesabia na waliokufa wakiwa wachanga?au akifa nafasi yako inarudi nyuma
 
Mimi ni wa 4 kwa mama na wa 9 kwa baba. Lakini baba ameniachia mimi majukumu ya kuilea familia!. Hapa inakuaje kwa utafutaj wangu wa riziki kuitafutia familia?.
 
Mimi ni wa 4 kwa mama na wa 9 kwa baba. Lakini baba ameniachia mimi majukumu ya kuilea familia!. Hapa inakuaje kwa utafutaj wangu wa riziki kuitafutia familia?.
We isome namba tu sasa maana hakuna namna!!
 
Hapo kazi ipo wengine ni wa pili kwa mama lakini wa tano kwa baba inakuwaje hapo

Mleta mada ametoa na marejeo, hivyo kasome ili uone mazingira ya wakati jambo ili linaanza.
 
Duh, mi wa nne ngoja nikomae naimani nitamfuatia nyuma mo dewji kabla ya kifo changu.
 
mimi ni mtoto wa 1 kwa mama angu...ila kwa baba sio wa wa kwanza au wa pili au wa nne nahisi ni wa 6...je hapo nipo wap
 
Back
Top Bottom