Bennie 369
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 713
- 534
OK. .. kumbe ndio maana yuda alimaindi mshiko hadi kumsaliti master. ...Kwa wana wa Israel, Yuda alikuwa wa nne, soma Biblia kitabu cha Mwanzo 35:22-23 na 49:8, alitanguliwa na Ruben, Simeon na Lawi.