Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa dijito karensi.Hahhahha huyo mwamba wa electronic coin sijui aliendaga wapi manina yan wabongo kwa kitonga
Waliambowa Hadi kufikia December 2018 wangekua mabilioneaKwahiyo hao wote walikua wanasubiri kudownload pesa?!
Hehehehe
Matutusa hayoHalafu walijipanga sana kwa kuja na shuhuda za uwongo humu ili kutuhamasisha kushirikiana nao kupigwa. Ni kama tu leo hii mashoga wa kataa ndoa waalivo na umoja wao ambao umeanza kuyumba baada ya wanamume ngangari kuwakazia hahahaaa.
Humu wengi ni wajinga mno, ubaya ndio huo wapo nyuma ya fake id. Ila kichwani ni sifuriNi vile tunatumia ID fake na hatujuani sura lakini ukute ile inayojifanya mibilionea humu ndio ilikuwa siti ya mbele hapo kuchukua notes za utajiri baada ya kuuza simu zao ili wapate laki 2 ya course[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi na akili yangu hii niongopewe kifala hivyo?Ukute na wewe upo hapo mbele kabisa ila umekuja humu kujua wenzio mliopigwa wote,, pole sana mkuu, hakuna hela inayokuja tu bure bure shart uifanyie kazi
Na hii nayo imekufa?Countrywide nashukuru kwa kunisaidia kufikisha ujumbe kwa hao walugaluga waliojidai kuziba masikio kipindi kile tulipokuwa tukijaribu kuwanasua kwenye ule mtego wa kuingizwa mjini.
"Ndoige" waliyokutana nayo hawatakaa wasahau maishani.
Pyumbavu zao...