Je, wewe ulikuwepo ndani ya hili jengo? Wewe ni Mjinga

Mkuu kiongozi
Huwa mnaaminisha watu kuwa JF ni home of great thinkers, ni kweli great thinkers wapo Ila ni wachache mno. Wengi ni matutusa ya hali ya juu sana.

Akatokea mtu huko akaja akawaamisha kuwa mlipe 200k alafu ndani ya wiki atawafundisha jinsi ya kudownload pesa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
. Matutusa yalivyo mengi humu yakakimbizana kuona pesa inavyokua downloaded
emoji23.png
emoji23.png

Haya matutusa yalikua makali sana na yenye nyodo mno, yaliambiwa na yakaaminishwa ndani ya mwaka mmoja yatakua mabilionea. Kuna ambayo yalienda mbali na kuanza kuulizia bei za Lamborghini, maana yalijua ndani ya mwaka yatakua mabilionea.

Ajizi nyumba ya njaa, nyodo na dharau zao zikaanza kupungua taratibu baada ya kuona siku zinaenda badala ya kudownload pesa yanaishia ku-upload pesa.

Ngoja leo niwaulize hivi mlikua na akili timamu? Bado hadi leo hamjapata akili? Maana na mm nataka niwakung'ute majinga nyie.

View attachment 2569721
Huwa mnaaminisha watu kuwa JF ni home of great thinkers, ni kweli great thinkers wapo Ila ni wachache mno. Wengi ni matutusa ya hali ya juu sana.

Akatokea mtu huko akaja akawaamisha kuwa mlipe 200k alafu ndani ya wiki atawafundisha jinsi ya kudownload pesa[emoji23][emoji23][emoji23]. Matutusa yalivyo mengi humu yakakimbizana kuona pesa inavyokua downloaded[emoji23][emoji23]

Mkuu kiongozi sisi tuliolipa 60 elf badala ya 200k tunaingia kwenye kundi lipi
 
Hao na Kalyinda walikua na I'd nyingi na tofauti wakianzisha mada wakali hao unawauliza toka lini utajiri ukaelekezwa kwa ukali kama fedha zipo si uende wewe utasikia natoa fursa kwa Watanzania wenzangu baadae unasikia wanatafutana huko Kigamboni mara ofisi imefungwa sasa kimya sijui watakuja na mguu gani tena kujikamatia matutusa yao...
 
Huwa mnaaminisha watu kuwa JF ni home of great thinkers, ni kweli great thinkers wapo Ila ni wachache mno. Wengi ni matutusa ya hali ya juu sana.

Akatokea mtu huko akaja akawaamisha kuwa mlipe 200k alafu ndani ya wiki atawafundisha jinsi ya kudownload pesa[emoji23][emoji23][emoji23]. Matutusa yalivyo mengi humu yakakimbizana kuona pesa inavyokua downloaded[emoji23][emoji23]

Haya matutusa yalikua makali sana na yenye nyodo mno, yaliambiwa na yakaaminishwa ndani ya mwaka mmoja yatakua mabilionea. Kuna ambayo yalienda mbali na kuanza kuulizia bei za Lamborghini, maana yalijua ndani ya mwaka yatakua mabilionea.

Ajizi nyumba ya njaa, nyodo na dharau zao zikaanza kupungua taratibu baada ya kuona siku zinaenda badala ya kudownload pesa yanaishia ku-upload pesa.

Ngoja leo niwaulize hivi mlikua na akili timamu? Bado hadi leo hamjapata akili? Maana na mm nataka niwakung'ute majinga nyie.

View attachment 2569721
dah! kama nimejiona hapo 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom