Huwa mnaaminisha watu kuwa JF ni home of great thinkers, ni kweli great thinkers wapo Ila ni wachache mno. Wengi ni matutusa ya hali ya juu sana.
Akatokea mtu huko akaja akawaamisha kuwa mlipe 200k alafu ndani ya wiki atawafundisha jinsi ya kudownload pesa[emoji23][emoji23][emoji23]. Matutusa yalivyo mengi humu yakakimbizana kuona pesa inavyokua downloaded[emoji23][emoji23]
Haya matutusa yalikua makali sana na yenye nyodo mno, yaliambiwa na yakaaminishwa ndani ya mwaka mmoja yatakua mabilionea. Kuna ambayo yalienda mbali na kuanza kuulizia bei za Lamborghini, maana yalijua ndani ya mwaka yatakua mabilionea.
Ajizi nyumba ya njaa, nyodo na dharau zao zikaanza kupungua taratibu baada ya kuona siku zinaenda badala ya kudownload pesa yanaishia ku-upload pesa.
Ngoja leo niwaulize hivi mlikua na akili timamu? Bado hadi leo hamjapata akili? Maana na mm nataka niwakung'ute majinga nyie.
View attachment 2569721