Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FOREX IS REAL BUT LIKE ANY OTHER BUSINESS....IT'S NOT FOR EVERYONE, IT'S A PROCESS!
Wote ni matutusa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah mie hayakunipata aiseeh nilikuwa nalog in nasoma yale mazingaombwe halafu naguna hiii [emoji1787][emoji1787] Kuna zuzu mmoja nilikuwa naye ofisi moja aliliwa,afu alikuwa mhamasishaji mkuu pale ofcn kutafuta mazuzu ya kupigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najiona hapo na Lemba langu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Yule Sijui msouth sijui mzulu [emoji1787][emoji1787]
Sitasahau
Wewe choko sehemu yoyote nayoweka thread usiwe unacomment, nitolee upumbavu wako. Mwanaharamu mkubwa kabisa wewe uliyeoza utumbo sababu ya kutatuliwa marinda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣hahhahha huyo mwamba wa electronic coin sijui aliendaga wapi manina yan wabongo kwa kitonga
We nikki wa 2 kaa kwa kutulia wwHuwa mnaaminisha watu kuwa JF ni home of great thinkers, ni kweli great thinkers wapo Ila ni wachache mno. Wengi ni matutusa ya hali ya juu sana.
Akatokea mtu huko akaja akawaamisha kuwa mlipe 200k alafu ndani ya wiki atawafundisha jinsi ya kudownload pesa[emoji23][emoji23][emoji23]. Matutusa yalivyo mengi humu yakakimbizana kuona pesa inavyokua downloaded[emoji23][emoji23]
Haya matutusa yalikua makali sana na yenye nyodo mno, yaliambiwa na yakaaminishwa ndani ya mwaka mmoja yatakua mabilionea. Kuna ambayo yalienda mbali na kuanza kuulizia bei za Lamborghini, maana yalijua ndani ya mwaka yatakua mabilionea.
Ajizi nyumba ya njaa, nyodo na dharau zao zikaanza kupungua taratibu baada ya kuona siku zinaenda badala ya kudownload pesa yanaishia ku-upload pesa.
Ngoja leo niwaulize hivi mlikua na akili timamu? Bado hadi leo hamjapata akili? Maana na mm nataka niwakung'ute majinga nyie.
View attachment 2569721