Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
1.viongozi wote pamoja na muwekezaji wapate mafunzo ya uendeshaji wa club ya mpira wa kisasa, 2. Wachezaji wa viwango kulingana na malengo ya club ,3.Chanzo cha uhakika cha mapato cha uendeshaji wa timu ikiwezekana kiasi hicho kiwe mkononi,(benki) yaani mdhamni asitoe hela anavyota yeye Tena nyuma ya mikameraKama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
1.KUBADILI RANGI NA KUWA NYEUSI NA NYEUPEKama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
3 hapo kuna mapungufu gani ?1.kujiuzuru kwa uongozi wote
2.Usajili Bora
3.kuboresha kitengo Cha habari
Hopeless guy....wewe kweli ni simba OG aka mbumbumbu....manake upo nje kabisa ya madaSimba sasa imeimarika na inacheza mpira mkubwa na wa kiwango Cha juu mnoo, tukianza na safu ya ulinzi iko imara ikiongozwa na Yeriko che Malone Baba wa ulinzi huyu,
Kiungo ndo usiseme wananyumbulika kulingana na mpinzani kina NGOMA pamoja na yule Punda haswaa/ Mzamiru.
Safu ya ushambuliaji nayo ukizubaa wanakukanda kina KIBUL DENIS.
Tuna Chama, Saidooo, sar, allooo HAKIKA TUMEIMARIKA KILA IDARA.
Yaani miaka 3 kuitengeneza timu tena Simba labda kama unataka kuwa na kitambi kwanzaKumwamini Mgunda.
Kumpa wachezaji Bora.
Kuamini process kutokuwa na pressure ya matokeo
Kutulia kutengeneza team hata miaka 3
Yaani unataka wakamwage ka Ahmada Ali?1.kujiuzuru kwa uongozi wote
2.Usajili Bora
3.kuboresha kitengo Cha habari
Hapana waboresheYaani unataka wakamwage ka Ahmada Ali?
weka 20B mezani awarudishie timu yenu1.fukuza mo dewji
2.fukuza mo dewji
3.fukuza mo dewji