Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

Tatizo la Simba ni matumizi mengi yasiyo na tija.

Sajili mbovu zenye mihemko

Ushindani na Yanga badala ya kufikiria zaidi
 
Viongozi Wafumbe macho waangalie wachezaji wenye mapenzi na timu na sio kuwa na wachezaji ambao wapo kwa maslahi binafsi wanakua bora mwishoni mwamsimu ili kuongeza mikataba
 
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
Kama mimi ningekuwa AFISA mtendaji mkuu wa klabu ya simba ningefanya mambo matatu yafuatayo ili simba ifikie mafanikio na malengo makubwa;
1. Kumuamini kocha mwalimu juma mgunda
2. Sajili bora za wachezaji wazuri na wapambanaji na hususani vijana wenye competion kubwa kwenye soko la ajira la mpira wa miguu
3. Kuajiri mtaalamu wa saikolojia katika team ambae anaweza kutambua utimamu wa mchezaji kama atamudu mchezo husika au hawezi hili ni muhimu sana
 
Kama mimi ningekuwa AFISA mtendaji mkuu wa klabu ya simba ningefanya mambo matatu yafuatayo ili simba ifikie mafanikio na malengo makubwa;
1. Kumuamini kocha mwalimu juma mgunda
2. Sajili bora za wachezaji wazuri na wapambanaji na hususani vijana wenye competition kubwa kwenye soko la ajira la mpira wa miguu
3. Kuajiri mtaalamu wa saikolojia katika team ambae anaweza kutambua utimamu wa mchezaji kama atamudu mchezo husika au hawezi hili ni muhimu sana
 
1717600361837.png
 
Back
Top Bottom