Viongozi Wafumbe macho waangalie wachezaji wenye mapenzi na timu na sio kuwa na wachezaji ambao wapo kwa maslahi binafsi wanakua bora mwishoni mwamsimu ili kuongeza mikataba
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
Kama mimi ningekuwa AFISA mtendaji mkuu wa klabu ya simba ningefanya mambo matatu yafuatayo ili simba ifikie mafanikio na malengo makubwa;
1. Kumuamini kocha mwalimu juma mgunda
2. Sajili bora za wachezaji wazuri na wapambanaji na hususani vijana wenye competion kubwa kwenye soko la ajira la mpira wa miguu
3. Kuajiri mtaalamu wa saikolojia katika team ambae anaweza kutambua utimamu wa mchezaji kama atamudu mchezo husika au hawezi hili ni muhimu sana
Kama mimi ningekuwa AFISA mtendaji mkuu wa klabu ya simba ningefanya mambo matatu yafuatayo ili simba ifikie mafanikio na malengo makubwa;
1. Kumuamini kocha mwalimu juma mgunda
2. Sajili bora za wachezaji wazuri na wapambanaji na hususani vijana wenye competition kubwa kwenye soko la ajira la mpira wa miguu
3. Kuajiri mtaalamu wa saikolojia katika team ambae anaweza kutambua utimamu wa mchezaji kama atamudu mchezo husika au hawezi hili ni muhimu sana
Viongozi wa Samba waondoke wote sbb wamefail kufikis malengo,,kuanzia kupoteza nafasi ya kushirki club bingwa hasi kupoteza ubora kwenye ranking za Caf na FIFA