KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Tumekuwa wepesi sana wa kuhukumuNchi ngumu sana hii mkuu, weusiwaze mambo ambayo hayawezekani kwa upande wako leo.
Kivipi mkuu, mbona kama una hoja hapa lakini unapata ugumu kuisema na badala yake unatamani mchangiaji mwingine aje akiseme kile unacho kifikiria...🤔Tumekuwa wepesi sana wa kuhukumu
Mambo siyo yaanNchi ngumu sana hii mkuu, weusiwaze mambo ambayo hayawezekani kwa upande wako leo.
Najaribu tu kuvaa viatu vyaoKivipi mkuu, mbona kama una hoja hapa lakini unapata ugumu kuisema na badala yake unatamani mchangiaji mwingine aje akiseme kile unacho kifikiria...🤔
Sasa unajaribu aje kuvaa viatu ambavyo havikutoshi..??Najaribu tu kuvaa viatu vyao
Ila kwa haya magari yetu tutaanza kusema tunaonewaa🤣🤣 niko paleeeTanzania bila ya rushwa za barabarani inawezekana, ndio maana jeshi la police inabidi lifumuliwe lote, all above 40yrs wastaafu kwa manufaa ya umma,ajiri young graduates na wapewe msingi mpya wa kuanzisha jeshi hili bila rushwa, chukua 1000 new recruits peleka pale Botswana 🇧🇼 kwa training ya miezi 9,wakirudi nakuambia kutakuwa na zero corruption kwenye barabara zetu, Botswana 🇧🇼 almost ni zero corruption kwenye barabara zao
Haya bhanaSasa unajaribu aje kuvaa viatu ambavyo havikutoshi..??
Yaani unajaribu aje kuvaa viatu ambavyo umeona ng'e kaingia kwamfano...??
Ebu achana na mambo ya kujaribu jarubu bana....
Tatizo la rushwa nchi hii lina baraka za chama na serikali. Juzi waziri wa wa nishati kamuhonga kila mbunge mitungi 100 ya gesi ili bajeti yake ipite bla kupingwa. Rushwa imetolewa ndani ya bunge na imebarikiwa na spika.Tanzania bila ya rushwa za barabarani inawezekana, ndio maana jeshi la police inabidi lifumuliwe lote, all above 40yrs wastaafu kwa manufaa ya umma,ajiri young graduates na wapewe msingi mpya wa kuanzisha jeshi hili bila rushwa, chukua 1000 new recruits peleka pale Botswana 🇧🇼 kwa training ya miezi 9,wakirudi nakuambia kutakuwa na zero corruption kwenye barabara zetu, Botswana 🇧🇼 almost ni zero corruption kwenye barabara zao
Nasikia jamaa huwa wanakuwa na mwisho mbaya sanaNamshukuru Mungu sana aliyeniepusha na kazi hiyo.
Akikujibu niambiePls my IGP niambie ni kiasi gani cha traffic fines kimepokelewa serikali kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita