Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Askari kwenda Mbinguni ni sawa na kuikuta bikra kwa malaya.Sijawahi kuwa askari wa jeshi lolote ila nimekaa nimewafikiria tu polisi hasa hawa wa usalama barabarani.
Je, ungekuwa ni askari trafiki, usingekula rushwa? Je ungetenda haki kwa kila anayepatikana na kosa kumuandikia cheti/ mkeka?
NB: Sisi raia ndio tunawaomba Polisi wapokee rushwa zetu ili kutuepusha na gharama kubwa ya cheti.
Umetembea zaidi ya 50km/h sehemu isiyotakiwa, una overtake kwenye mstari usiotaka u overtake, tairi kipara, kioo kina nyufa na umelewa.
Sina maana mbaya, bali kazi yao inawaweka ktk ulazimisho wa kutenda dhambi. Imagine unaambiwa mfungulie kesi mtu fulani na kosa lake unaambiwa liandae wewe.......