Je, wewe ungekuwa Polisi ungetenda Haki? Je, usingekula rushwa?

Askari kwenda Mbinguni ni sawa na kuikuta bikra kwa malaya.

Sina maana mbaya, bali kazi yao inawaweka ktk ulazimisho wa kutenda dhambi. Imagine unaambiwa mfungulie kesi mtu fulani na kosa lake unaambiwa liandae wewe.......
 
Sawa mkuu ila nipo mkoa wa Ruvuma, Namtumbo, kijiji cha lingusenguse, karibu
 
Askari kwenda Mbinguni ni sawa na kuikuta bikra kwa malaya.

Sina maana mbaya, bali kazi yao inawaweka ktk ulazimisho wa kutenda dhambi. Imagine unaambiwa mfungulie kesi mtu fulani na kosa lake unaambiwa liandae wewe.......
Aiseè...
TISS wanataka wasishitakiwe kwa unyama na ukatili wanaowafanyia watu wasio na hatia. Hata wakiuwa wawekewe kinga ya mashtaka
 
Askari kwenda Mbinguni ni sawa na kuikuta bikra kwa malaya.

Sina maana mbaya, bali kazi yao inawaweka ktk ulazimisho wa kutenda dhambi. Imagine unaambiwa mfungulie kesi mtu fulani na kosa lake unaambiwa liandae wewe.......
Mkuu hapo kwenye pepo n fumbo.
Kikubwa kilamyu aombe mwisho mwemaa.
Hamna ajuae tusiwe wepesi kutoa hitimisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…