Je! Wewe Utafanyaje?

Je! Wewe Utafanyaje?

Ukiamka kesho asubuhi ukakuta dunia ina kila kitu unachokihitaji na hakuna mtu yeyote wa kumsemesha au kumuongelesha yaan umebakia peke yako dunia nzima, Utafanyaje?

Ijumaa Karim!
Kama sio madhara ya jani, basi wahi maabara haraka, huenda celebral malaria inakunyemelea. Unapoanza kuwaza impossibles ujue sio bure!!
 
hivi uliyeandika umefikiri kweli. yaani nikute kila nnachokiitaji na hakuna wa kumsemesha. unajua fantasy yangu. kama mtu anapenda wanawake na kaamka kawakuta c atawasemesha.
Jamaa umemkomesha, ajipange tena aje vizuri na swali lake,,,,,
 
Unasema ina kilakitu unachohitaji then unasema hakuna mtu wakumsemeaha HOW COME katika vitu navyohitaji Kuwa na mke mzuri, Mamayangu, ndugu zangu, also kutoka outing so huko outing lazima kuwe na watu wakuniuzia Ice cream, bia, michemsho, kuangalia movie kali so Actors wawepo wakina Will Smith nk, nataka Game kali so game developers wawepo, napenda kulakula so wapishi.

Hutimisho: hao watu wapo katika kilakitu nachohutaji Direct Kama mke na Indirect Kama Waoishi so ukisema eti niwe na kilakitu nachohitaji then watu hawapo hio kauli yakk ni ya uongo hapo vutajimia navyohitaji
Hao uliowataja ni vitu? Watu ni vitu?

Naomba kujua tu
 
Back
Top Bottom