mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kawaida mbona nafanya kila siku😂Jamani😃😃😃,, utakua unajiongelesha mwenyewe 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kawaida mbona nafanya kila siku😂Jamani😃😃😃,, utakua unajiongelesha mwenyewe 😂
NakaziaPunguza kuangalia horror movies we jamaa
Aisee 😃,, zamani nilikua na hiyo tabia ila sikuizi nimekua mkubwa nimeacha😂🙈kawaida mbona nafanya kila siku😂
ni upweke tu😅 nikishika hela hali itaishaAisee 😃,, zamani nilikua na hiyo tabia ila sikuizi nimekua mkubwa nimeacha😂🙈
Kuna baadhi ya siku huwa najianzishia mijadala mwenyewe alafu nina bishana ndan ya nafasi hadi ugomvi unakuwa mkubwakwa mtu kama mimi mwenye na upweke, itakua rahisi kuishi....
ntakua najiongelesha mwenyewe
pole mkuu,Kuna baadhi ya siku huwa najianzishia mijadala mwenyewe alafu nina bishana ndan ya nafasi hadi ugomvi unakuwa mkubwa
Kama sio madhara ya jani, basi wahi maabara haraka, huenda celebral malaria inakunyemelea. Unapoanza kuwaza impossibles ujue sio bure!!Ukiamka kesho asubuhi ukakuta dunia ina kila kitu unachokihitaji na hakuna mtu yeyote wa kumsemesha au kumuongelesha yaan umebakia peke yako dunia nzima, Utafanyaje?
Ijumaa Karim!
Kwakweli 😃ni upweke tu😅 nikishika hela hali itaisha
Jamaa umemkomesha, ajipange tena aje vizuri na swali lake,,,,,hivi uliyeandika umefikiri kweli. yaani nikute kila nnachokiitaji na hakuna wa kumsemesha. unajua fantasy yangu. kama mtu anapenda wanawake na kaamka kawakuta c atawasemesha.
Hao uliowataja ni vitu? Watu ni vitu?Unasema ina kilakitu unachohitaji then unasema hakuna mtu wakumsemeaha HOW COME katika vitu navyohitaji Kuwa na mke mzuri, Mamayangu, ndugu zangu, also kutoka outing so huko outing lazima kuwe na watu wakuniuzia Ice cream, bia, michemsho, kuangalia movie kali so Actors wawepo wakina Will Smith nk, nataka Game kali so game developers wawepo, napenda kulakula so wapishi.
Hutimisho: hao watu wapo katika kilakitu nachohutaji Direct Kama mke na Indirect Kama Waoishi so ukisema eti niwe na kilakitu nachohitaji then watu hawapo hio kauli yakk ni ya uongo hapo vutajimia navyohitaji