Je! Wewe Utafanyaje?

Ukiamka kesho asubuhi ukakuta dunia ina kila kitu unachokihitaji na hakuna mtu yeyote wa kumsemesha au kumuongelesha yaan umebakia peke yako dunia nzima, Utafanyaje?

Ijumaa Karim!
Kama sio madhara ya jani, basi wahi maabara haraka, huenda celebral malaria inakunyemelea. Unapoanza kuwaza impossibles ujue sio bure!!
 
hivi uliyeandika umefikiri kweli. yaani nikute kila nnachokiitaji na hakuna wa kumsemesha. unajua fantasy yangu. kama mtu anapenda wanawake na kaamka kawakuta c atawasemesha.
Jamaa umemkomesha, ajipange tena aje vizuri na swali lake,,,,,
 
Hao uliowataja ni vitu? Watu ni vitu?

Naomba kujua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ