Je wizi wa kura na kunyima haki ndiyo utamaduni wetu?

Je wizi wa kura na kunyima haki ndiyo utamaduni wetu?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha kushangaza unakuta wasomi kabisa wa media wanasema . Lissu Mama anakupenda sijui nini sasa hayo mbona hayajasaidia chaguzi za 2019,2020 na 2024.

Watu wa Media mnatakiwa kuwahoji hao watekaji na kuwauliza ni kwanini hawataki tume huru na haki kwenye nchi hii bila hivyo damu ya nchi hii inayo endelea kumwagika inawahusu

Si kweli kwamba Watanzania hawataki haki na demokrasia
 
Uchafu wakati wa uchaguzi ndio sera ya CCM
 
Nilikuwa najisikia aibu sana kusikia maswali ya Waandishi wa habari...wale ndiyo wanahariri na kuandika habari kwenye vyombo vyetu vya habari?

Mtu mzima anauliza kwanini tokea chaguzi zingine mlishiriki na kushinda ila hii mnakataa? Yaani kama walishiriki ndiyo ubovu wa sheria za tume ya uchaguzi ushirekebishwe?
Eti shirikini uchaguzi muongeze wabunge ndani ya bunge ndipo mkarekebishe hizo sheria?
Yaani Balile anasema kabisa kuwa kila mtu anatambua kuwa uchaguzi wa 2019 na 2020 zilikuwa chaguzi special hivyo .....yaani blabla na ujinga mwingi sana.

Hata kama unanufaika kwa namna moja au nyingine, basi kumbuka mjukuu wako anaweza kuathiriwa na hizo sheria mbovu za uchaguzi.
 
Back
Top Bottom