Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini.

Kila namba ina wachezaji wawili top top class !!! wenye uwezo unaofanana na kukalibiana!!

Imagine ni lini yanga ilikuwa na wachezaji wenye passion ya kucheza kwa kujitoa toka yanga ianzishe kama mwaka huu?

Kwangu mimi hii ndio timu bora ya muda wote toka mwaka 1935.
@technically ebu acheni kujitoa akili basi

Yan kuifunga timu inayoburuza tela ndio mnasema hii ndio yanga imara KULIKO.???????

Kumbe manara alikuwa sahihi kusema wenye akili ni wawili pale
 
@technically ebu acheni kujitoa akili basi

Yan kuifunga timu inayoburuza tela ndio mnasema hii ndio yanga imara KULIKO.???????

Kumbe manara alikuwa sahihi kusema wenye akili ni wawili pale
Hii timu inayoburuza tela ndio iliyomtoa anayeshika nafasi ya tatu kwa ubora kwenye ligi ya Misri (Pyramid) halafu tena hao hao Pyramids wamecheza fainali ya Egypt FA cup dhidi ya Al Ahly juzi tu hapa na kufungwa goli moja tena kwenye dakika 30 za nyongeza. Hivyo sio kwamba Pyramids ni wabovu ila hawa jamaa wanaujua mpira sana.
 
Hii yanga kwakweli imekamilika kila idara mfano mechi ya leo baada ya sub ya Mzinze,Sure boy,Morrison na Mudathiri speed ya yanga iliongezeka mara mbili.
Timu ikawa na kasi ya kushambulia na uwezo mkubwa sana wa kukaba nafikir yanga hii ni bora sana na matokeo inayoyapata ni matokeo stahiki kabisa.
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
@technically ebu acheni kujitoa akili basi

Yan kuifunga timu inayoburuza tela ndio mnasema hii ndio yanga imara KULIKO.???????

Kumbe manara alikuwa sahihi kusema wenye akili ni wawili pale
Hujui lolote kwenye mpira kakojoe ukalale [emoji706][emoji706]
 
Yanga itaendelea kusumbua mpaka 2030 Rais Samia anaposepa.

hivi vipindi ambavyo marais wa Pwani / Zenji wamekamata usukani waarabu huwa wanapiga pesa za kutosha,
Kuna uzi wako umesema GSM ana print pesa, je unajua gharama ya tuhuma hizo?
 
Hapana, zimepita yanga nyingi mzuri zaidi ya hii. Viwango vya soka duniani vimeshuka kupelekea vibovu kuwa viziri
Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini.

Kila namba ina wachezaji wawili top top class !!! wenye uwezo unaofanana na kukalibiana!!

Imagine ni lini yanga ilikuwa na wachezaji wenye passion ya kucheza kwa kujitoa toka yanga ianzishe kama mwaka huu?

Kwangu mimi hii ndio timu bora ya muda wote toka mwaka 1
 
Simba iache unjinga ifanye maamuzi magumu. Na iwe making kwenye usajili.
 
MO pesa za ukoo zile, wao wanawekeza pesa sehemu yenye faida kubwa zaidi.

Kwa hali ya sasa MO kakumbushwa kwamba ukoo wao ni wafanyabiashara sio wanasoka,

MO atarudi upya 2030 huko wakati kina Mwigulu wanarudisha zama za Magu na kumrudisha Bashite
Tudiscuss mpira tuache siasa za ccm
 
Back
Top Bottom