Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa maisha.
je,hili suala la yanga kuibua taharuki mahakama inaweza kuishitaki klabu ya yanga dhidi yake?
je,hili suala la yanga kuibua taharuki mahakama inaweza kuishitaki klabu ya yanga dhidi yake?