Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hiyo ndo iliyotangazwa sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo iliyotangazwa sio?
Unamaanisha jezi Ipi kati ya hizo mbili?Hiyo ndo iliyotangazwa sio?
Zimekaa kidemu demu.sivai hata na hela
Muhimu matokeo mazuri uwanjani!!
Hahahaaaa kama blauziZimekaa kidemu demu.sivai hata na hela
Nikajua wewe mtu ushafarikiMlioziona Jezi mpya za Yanga SC walizozizindua leo pale Serena Hotel karibuni ili muweze kutupa utofauti wa hizo Jezi na zile ‘ Reflectors ‘ ambazo mara nyingi huwa tunaziona zikitumiwa mno na Mafundi Ujenzi, Wafanyakazi wa Bandari na wale Watoza Ushuru wa Kupakia ( Maegesho ) wa Magari wa NPS.
Ila kuna Timu moja ( nimeisahau Jina lake kwa bahati mbaya ila nikiikumbuka nitaitaja hapa ) ambayo imezindua Jezi zake jana tu na tayari hata ‘ Wataalam ‘ wa Masoko na Biashara wa Vilabu vikubwa duniani kama vya Liverpool, PSG na Barcelona wamezisifia mno kiasi kwamba sasa wapo mbioni kuomba Michezo ya Kirafiki na hiyo Klabu kwani wamesema inaendeshwa Kisomi sana.
IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL
Nikajua wewe mtu ushafariki
Mimi nilifariki mwaka jana nikarudi tenaNikajua wewe mtu ushafariki
Nife mara ngapiUtatangulia Wewe Kufa na Mimi utaniacha. Maneno yangu hayajawahi kwenda bure na huwa ni sahihi kwa 100%.
Acha umama wewe kiazi...2019 bado unaongelea midini iliyoletwa na majahazi...waarabu wanakimbilia Ulaya Kula bata wewe bado unasadiki hadithi za wahenga.. patheticHalafu zina msalaba.BAKWATA na Sheikh Ponda nao wako kimya tu.Samahani:naomba Al Shaabab wadeal na kila mchezaji wa Yanga atakayevaa jezi hiyo yenye msalaba uliokaa kiwizi wizi.