Je Yanga SC leo wamezindua Jezi au ‘ Reflectors ‘ za Mafundi Ujenzi, Wafanyakazi wa Bandari au Watoza Ushuru wa Kupaki Magari?

Je Yanga SC leo wamezindua Jezi au ‘ Reflectors ‘ za Mafundi Ujenzi, Wafanyakazi wa Bandari au Watoza Ushuru wa Kupaki Magari?

Yanga jitokezeni basi Kwenye pambano la utangulizi tarehe 4, kwa ajili ya kuwandaa mashabiki kuangalia pambano lenyewe la kibabe tarehe 6.
Tusafishieni uwanja vzr,
IGA ufe, this is the next level.
 
1564793178087.png
 
Muhimu matokeo mazuri uwanjani!!

Jezi nzuri na bora pia ' hunogesha ' Ushindi lakini siyo ' Jezi Reflectors ' kama za Yanga SC. Msimu huu hizo Jezi zao ' zitatupofua ' mno Macho yetu Viwanjani kwani zinang'aa kama si kuwaka sana.
 
Mlioziona Jezi mpya za Yanga SC walizozizindua leo pale Serena Hotel karibuni ili muweze kutupa utofauti wa hizo Jezi na zile ‘ Reflectors ‘ ambazo mara nyingi huwa tunaziona zikitumiwa mno na Mafundi Ujenzi, Wafanyakazi wa Bandari na wale Watoza Ushuru wa Kupakia ( Maegesho ) wa Magari wa NPS.

Ila kuna Timu moja ( nimeisahau Jina lake kwa bahati mbaya ila nikiikumbuka nitaitaja hapa ) ambayo imezindua Jezi zake jana tu na tayari hata ‘ Wataalam ‘ wa Masoko na Biashara wa Vilabu vikubwa duniani kama vya Liverpool, PSG na Barcelona wamezisifia mno kiasi kwamba sasa wapo mbioni kuomba Michezo ya Kirafiki na hiyo Klabu kwani wamesema inaendeshwa Kisomi sana.

IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL
Nikajua wewe mtu ushafariki
 
Halafu zina msalaba.BAKWATA na Sheikh Ponda nao wako kimya tu.Samahani:naomba Al Shaabab wadeal na kila mchezaji wa Yanga atakayevaa jezi hiyo yenye msalaba uliokaa kiwizi wizi.
Acha umama wewe kiazi...2019 bado unaongelea midini iliyoletwa na majahazi...waarabu wanakimbilia Ulaya Kula bata wewe bado unasadiki hadithi za wahenga.. pathetic
 
Zile za rangi ya xhupi ya kike ndio mikia wanazisifia hivi, huu ni utaahira
 
Back
Top Bottom