Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

muftee MD

Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
10
Reaction score
42
Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
 
Daah, ngoja nijaribu kutafuta usingizi, si Kwa stress hizi za yanga.
1000001298.jpg
 
Back
Top Bottom