Utopolo shida sana.Kila la heri Wananchi. Muhimu tu msirudie makosa ya msimu uliopita. Maana mbumbumbu wanachonga sana.
Binafsi sioni kama ni makosa makubwa sana, kwa sababu ambapo naweza kusema bila shaka kwamba tulipigwa ni kwa Sarpong!Kila la heri Wananchi. Muhimu tu msirudie makosa ya msimu uliopita. Maana mbumbumbu wanachonga sana.
Akisusa atakuwa mjinga, kwa sababu ukiingia kwenye soka lazima ukubali yote!!! Soka ni kama siasa tu... hususani soka ya vilabu vikubwa vinavyomilikiwa na wanachama!! Kote huko, unaweza kuingia wakati unaheshimika kweli kweli mbele ya jamii, lakini ndani ya mwezi mmoja tu, ukaanza kuonekana kama takataka!!Utopolo shida sana.
Yale maduka yetu naona mmeyatimua, sijui siri kavujisha Dr. H. Manara!
Safari hii Boss Mo anaweza akatususa.