Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
nani kakwambia hawalipi kodi?Sio tu uwe hadharani, awe wa kwanza kulipa kodi. Nchi pekee ya hovyo duniani, wanaopaswa kulipa kodi hawalipi, wanaopaswa kushitakiwa hawashitakiwi. Mtu anasema ninyi nitawalinda kama vile anamiliki silaha za ulinzi na yuko huru kabisa
PAYE inadanya kazi gani kwenye mshahara.?
Kujua hakutofanya wasilipe au walipe kodi. mambo yatabaki vile vile.
na sion umuhim maana sheria za nchi zinastate issue ya mshara ni btn muajiri na muajiriwa.. sio public interests.