Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
jirani inajulikana shughuli yake....Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
Kwa hiyo ataenda kugombea Ubunge chato? Kwa mujibu wa Katiba,Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwaNi suala LA muda tu hayo yatatimia 2025 Magufuli atarudi kuwa Waziri mkuu maana Tanzania inamuhitaji sana
Ni suala LA muda tu hayo yatatimia 2025 Magufuli atarudi kuwa Waziri mkuu maana Tanzania inamuhitaji sana
Manake wengine wote walikuepo hawawezi anaiweza hii nchi niyeyetu..??Watanzania tusipoteze lulu hii tuliopewa na Mwenyezi Mungu 2025 Mh. Raisi anafaa kuongezewa muda wa kuiongoza Tanzania kwa kwa awamu nyingine tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ataenda kugombea Ubunge chato? Kwa mujibu wa Katiba,Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingizo jipya la "Praise and worship team for Magufuli"Ni suala LA muda tu hayo yatatimia 2025 Magufuli atarudi kuwa Waziri mkuu maana Tanzania inamuhitaji sana
Watanzania tusipoteze lulu hii tuliopewa na Mwenyezi Mungu 2025 Mh. Raisi anafaa kuongezewa muda wa kuiongoza Tanzania kwa kwa awamu nyingine tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu miaka 10 inatosha kwa makada wengine wa chama cha Mapinduzi kujifunza mazuri ya Magufuli na kupokea kijiti. Atakumbukwa kwa kuonesha njia katika awamu yake ya tano.Watanzania tusipoteze lulu hii tuliopewa na Mwenyezi Mungu 2025 Mh. Raisi anafaa kuongezewa muda wa kuiongoza Tanzania kwa kwa awamu nyingine tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu miaka 10 inatosha kwa makada wengine wa chama cha Mapinduzi kujifunza mazuri ya Magufuli na kupokea kijiti. Atakumbukwa kwa kuonesha njia katika awamu yake ya tano.
Maana hata yeye anayeonekana Bora ni zao la watangulizi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu nenda kwenye Katiba yetu Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa na wapiga kura,makamu wa Rais ndio ni mgombea mwenza wa mgombea uraismpimamstaafu,
Umefikiria kuhusu makamu badala ya waziri mkuu?