Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesomea ujingaProfesa Ndumilakuwili Kabundi,
Profesa Kusitasita Ndalikachako,
Profesa Kitita Mwamkumbo
Profesa Ukame Mbawala
Hawa wana tofauti gani na profesa Vulata au Maji Marefu?
Dokta asiyetulia Action
Dokta Pindua Chania
'Dokta' Mguujuu Michembe
'Dokta' Ndoto Bitek
'Dokta' Sele Jaffu
'Dokta' Sania, sorry, Solution
Education for Ignorance is the name
Ongeza wako.
Je hao japo wamesoma sana, kweli walielimika?
Utawasikia wakiwaita vihiyo na waghushi madaktari ili washibishe mitumbo yao isiyoshiba.
Je twaweza kuwasaidiaje zaidi ya kuwasuta?
UmenenaCCM ni Ibilisi Shwetani.
Tatizo kile chama chao ni lazima uweke akili pembeni, hata angekuwa nani akisha kuwa ccm basi ni la saba mwenzetu.