Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

Je, yule Mchezaji wa Timu Moja Kubwa niliyesema 'Karogwa' na ataanza Kucheza vibaya mmeshamjua au bado?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli.

Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika utakuwa Umeshamjua huyo Mchezaji niliyekuwa Nimemlenga hasa.

Akhsante Mungu kwa Kunipa Shani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli.

Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika utakuwa Umeshamjua huyo Mchezaji niliyekuwa Nimemlenga hasa.

Akhsante Mungu kwa Kunipa Shani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Baleke?
 
Back
Top Bottom