GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baleke?Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli.
Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika utakuwa Umeshamjua huyo Mchezaji niliyekuwa Nimemlenga hasa.
Akhsante Mungu kwa Kunipa Shani.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Umekosa tuliza Akili utamjua.Baleke?
Umekosa tuliza Akili utamjua.phil
Kicheo kuna Mmoja hapa ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa Ulozi / Kuroga Wenzao Kikosini.Manila,Boko,Tshabalala ni wachawi.
Max mchomeko hawamuwezi....atawasha moto mwanzo mwisho.Siku hz umekuwa The king tena
Nakumbuka ule uzi ulimaanisha Nzengeli lakin jana mr.machomeko bado kakiwasha
Hzo ni confirmed 100%Bado ID nne hapo,anazo saba
Ngoja nipitie threads zake
Unaweza ukathibitisha hapa JamiiForums kuwa katika huo Uzi nilimtaja au nilikuwa namaanisha ni Zengeli?Siku hz umekuwa The king tena
Nakumbuka ule uzi ulimaanisha Nzengeli lakin jana mr.machomeko bado kakiwasha