Je Zanzibar Inahitaji Truth & Reconciliation Comm。Kuponya Makovu ya Mapinduzi, ili Upinzani Ukishinda,Upewe?。Sis & Bro,Can You Please Do The Needfu?。

Kuna sababu inayosababisha wapokwe ushindi, kwa nini wapinzani wa serikali ya mapinduzi wawe na kufanana kwa ethnic moja?
Umeishawahi kujiuliza kwa nini walioko madarakani wana slogans kama mapinduzi daima? Tutalinda mapinduzi kwa gharama yeyote?

Waliokimbilia Mombasa Kenya baada ya uchaguzi wa 2000 kwa nini wengi wana asili ya kipemba na kiarabu? Paskali ana point kuna jamii kubwa mbili Zanzibar zinazokinzana, hawaaminiani na hawapendani bila kukaa na kuweka tume ya reconciliation moto utaendelea kufukuta.

Ukizungumza kwa chuki dhidi ya hao wenye asili ya kiarabu na wapemba unakuwa kama hao wa mapinduzi daima wanaosema hawawezi kutoa nchi kwa kipande cha karatasi. Sheria za uchaguzi zikirekebishwa na ACT wakashinda uongozi wa serikali kuna uwezekano mkubwa na wao wakaanza intimidation dhidi ya mapinduzi daima.

Hili suala halihitaji emotion ya wale waarabu, wakoloni etc, ni suala la kuponya jamii ya wazanzibari from their past. Nakubaliana na Pascal Mayalla kwenye hoja hii.
 
Teh teh teh 😃 😃 😃 kwa hiyo na wewe unahitaji 'reconciliation' Ili mkeo arejee kwako ?
No sihitaji reconciliation kwasababu tume move on, nimetolea mfano huo ili kuonyesha jinsi ukweli unavyoponya. Zanzibar wapindua na wapinduliwa wakae meza moja wasemezane ukweli, waombane msamaha na kupeana pole kuponya machungu ya mapinduzi.
P
 
Wow! Kumbe sultan hakuwa mwakilishi wa mkoloni?
No Sultan hakuwa mwakilishi wa mkoloni, Zanzibar was never colonized!, kwenye ule mkutano wa Berlin, wa mwaka 1884, Zanzibar, visiwa vyote vya bahari ya Hindi, na 10 miles costal stripe, vilimilikishwa kwa Siltan of Zanzibar. It is as if Zanzibar haikuwahi kuwa na mwenyewe, Sultani alitoka zake Oman mwaka 1732 akavikuta visiwa havina mwenyewe, akajiokotea kama embe dodo chini mwembe.
Mwaka 1890 Zanzibar ikaziachia zile maili 10!.
P.
 
CCM hawana msamiati wa kushindwa bwashee
 
Tribalism ni human nature. Hata South Africa kuna political parties za Africans, whites na Indians. Reconciliation haikuweza kuiondoa hii hali.

Aliyepunduliwa sio Wazanzibar wenye asili ya kiarabu bali ni mkoloni Sultan. Ipo mifano mingi ya aina hii. Moja ya mifano hiyo ni USA. Marekani ni nchi yenye watu wengi wenye asili ya Ulaya, including Great Britain. Wakati wa nusu ya pili ya karne ya 18, Wamarekani waliamua kupigana vita kumng’oa Muingereza, mkoloni, na walifanikiwa kumng’oa wakawa taifa huru. Umewahi kusikia hoja ya Wamarekani kufanya reconciliation eti kwa sababu tu baadhi ya Wamarekani wana asili ya Uingereza (mkoloni aliyeng’olewa)?
 

Mkuu kuna sehemu unakwama kifikra.
 
“…Zanzibar was never colonized! …”??? Kwani kwa definition, colonization ni nini? As far as I know, wakoloni wote walikuwa wanajimilikisha territories zozote walizozipenda kama hakuwa challenged militarily.

Na kama Zanzibar haikuwa colonized, independence ilikuwa ya nini, labda?
 

technical Zanzibar haikuwa colonized, British walikua ni protectors, although new nyuma ya pazia ulikuwa ni ukoloni tu.
 
Hao wa Oman washenzi kweli yaani.

Wanaona Zanzibar kuwa huru ni kudhulumiwa??

Hawa ni watu wa aina gani lakini??

Such evil people .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…