Zari ni maji usipoyanywa utaoga.......kacheki kwa babutale baada ya kuuliza aende south akambembeleze mama tee.....Mmh baasi niliambiwa zari keshapotea hana kiki wala dhamani tena saiv hadi mleta mada anamuimba zari aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zari ni maji usipoyanywa utaoga.......kacheki kwa babutale baada ya kuuliza aende south akambembeleze mama tee.....
Walichojibu mashabiki utajua zari ni namba nyingine.....ila nimependa alichopost nay wa mitego tu
Thubutuuuu ile amsha amsha ya leo mondi mwenyewe kaelewa zari ni naniWabishi watakataa wengine waliniapia humu hadi mwezi huu eti zari atakua keshasahaulika [emoji23][emoji23][emoji23]
rada zako zinasemaje mkuuu. Hebu tuangalizie huko swahibaJamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea
leave me alone manUnaona sifa
Kasahau kuLog Out na Acc yakeChinga Too Low for This Come On.............
[emoji106]Jamani hivi hamjui tu mpaka leo hawa wawili wanacheza michezo? Na episodes zao wanazipangilia vizuri kweli... Wao zinazidi kubanana kwenye vibubu vyao sisi kazi yetu kuwasemea
ππ bana weee ndo naingia jf muda huu nacheki notification nakutana na huu uzi dooh hawa viumbe wapekuzi sana tuwe makini na simu zetu.......πππDuh Chinga One umeandika wewe au simu anayo shemeji?
Just kiddin' tho...[emoji85]
Hivi hata kaka yako wa miaka 28 utamtaka aoe jimama linakaribia miaka 40 jaman hebu tuwe wawazi, nay mwenyewe anakula videm vidogo anampreshalaizi mwenzie aoe limamaAnyway mond anatakiwa arudiane na mzazi mwenzie Zarina Hassan Tlale, kwangu mimi naona km ndio mwanamke anaemfaa zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh baasi niliambiwa zari keshapotea hana kiki wala dhamani tena saiv hadi mleta mada anamuimba zari aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hii video Zari ndio kaipaisha.Wabishi watakataa wengine waliniapia humu hadi mwezi huu eti zari atakua keshasahaulika [emoji23][emoji23][emoji23]
Na hii video Zari ndio kaipaisha.
Hivi hata kaka yako wa miaka 28 utamtaka aoe jimama linakaribia miaka 40 jaman hebu tuwe wawazi, nay mwenyewe anakula videm vidogo anampreshalaizi mwenzie aoe limama
Halafu mi skujua kama ni video yaan habati nimetangulia ku iskia kuliko video yenyeweKabisa,kila kona zari zari,chezeya mwanamke kamili mwenye kujielewa