MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
- Thread starter
- #81
CCM hawana nguvu then CCM hao hao wamechukua jimbo? Sentence yako inajikanganya.
Asiye na nguvu hawezi kuchukua jimbo. Mwenye nguvu ndo mshindi siku zote mahala popote.
Sidhani kama anajua mantiki ya alichokiandika.