Je zuberi/kisesa express ndio tajiri zaidi kwenye sekta ya usafirishaji? Kwanini hajapandisha nauli?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni pungufu na magari mengine yenye route kama ya kwake, nikajaribu kufatilia labda magari yake ni mabovu mabovu lakini huyu mwamba juzi kaingiza chuma nyingine mpyaa yaani plate number E,

Jana nilikua pale nyegezi bus stand mwamba aliondoa chuma tano kwenda Moshi na zote zimejaa full yani ni mzozo, kwa dar Mwanza Kuna chuma 6 ziko road zinapishana Bado Mwanza -kahama anachuma zake hatari je Siri ya huyu jamaa kutokupandisha nauli ni nini? Ukiachana na harakati zake za kuwagawia misosi walemavu na kuwasafirisha Bure huyu Mwamba kanunua jengo Zima la ghorofa hapo urafiki.

Kwenye kufatilia chanzo kimoja kilinambia jamaa yeye magari yake sio ya mkopo kwa wachina yeye anaenda kununua cash kwa hiyo hana pressure yoyote ya kukimbizana na marejesho, ukiachana na hao wamiliki wengine wenye "mabus" wananunua mbili cash then tatu zingine anapewa kwa mkopo...

Kwakweli huyu zuberi ndio tajiri wa ukweli.
20231223_103210.jpg
20231223_103208.jpg
20231223_103205.jpg
 
...Asante Kwa Tangazo ! [emoji846]. Usisahau Kulipia !!! [emoji1][emoji1]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi yeye kaishia hapo kwenye 60,000/= yaani huyu Mwamba hajaanza Leo, tokea miaka hiyo yeye nauli zake ni pungufu na magari mengine yenye route kama ya kwake, nikajaribu kufatilia labda magari yake ni mabovu mabovu lakini huyu mwamba juzi kaingiza chuma nyingine mpyaa yaani plate number E,

Jana nilikua pale nyegezi bus stand mwamba aliondoa chuma tano kwenda Moshi na zote zimejaa full yani ni mzozo, kwa dar Mwanza Kuna chuma 6 ziko road zinapishana Bado Mwanza -kahama anachuma zake hatari je Siri ya huyu jamaa kutokupandisha nauli ni nini? Ukiachana na harakati zake za kuwagawia misosi walemavu na kuwasafirisha Bure huyu Mwamba kanunua jengo Zima la ghorofa hapo urafiki.

Kwenye kufatilia chanzo kimoja kilinambia jamaa yeye magari yake sio ya mkopo kwa wachina yeye anaenda kununua cash kwa hiyo hana pressure yoyote ya kukimbizana na marejesho, ukiachana na hao wamiliki wengine wenye "mabus" wananunua mbili cash then tatu zingine anapewa kwa mkopo...

Kwakweli huyu zuberi ndio tajiri wa ukweli.
Huyo jamaa kampuni yake inadili sana na kusafirisha mizigo tena kwa haraka na hela nyingi anapatia kuliko kwa abiria.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom