Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #21
Yeah nasikia anayo Mallory kinomaaHuyo jamaa kampuni yake inadili sana na kusafirisha mizigo tena kwa haraka na hela nyingi anapatia kuliko kwa abiria.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app