Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
waache mara moja!Baleke to Bangladesh 🇧🇩 ✈️
kwa kweli kama kuna mtu ana namba ya senior officers wa klabu atume hapaHeshima kwa scouting team
klabu imetoa tamko??Ndiyo ameondoka sasa
Utasubiri snklabu imetoa tamko??
Bocco ni mchezaji wa nje?Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu.
Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu.
Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira na kutinga mabeki halafu umbakishe bocco kweli!
its so sad champ, na shangilia yake pia ina vibe mbayaKwani mwenye Uwezo wa kumiliki mpira Afrika ni Baleke peke yake acheni uzwazwa kaachwa Ronaldo na Messi itakuwa Baleke kitu gani??
sio lazima uwe mwanachama. mfano mimi ni shabiki,mdau na client wa simba. kumbuka klabu haijiendeshi bila soko mm ni sub kits supplier zone yetuJe? Kadi Yako ya uwanachama umelipia ADA? Mwisho lini.
Asante
Bocco ni mchezaji wa nje?