Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

Kwani Bocco ni wa kigeni? Anaachwa Baleke sababu mmezidisha ma pro.
 
Mbaya zaidi saido anaendelea kuwapo
Saidoo inaonekana ni mradi wa wajanja pale Simba.
1. Inawezekana kuna mtu/watu wanakula 20% ya mashahara wa Saidoo.
2.Au kuna watu/mtu ametegesha kwenye dirisha kubwa avune pesa ndefu kwa Saidoo kuvunjiwa mkataba kwani hata akipewa mkataba wa mwaka mmoja hatoboi kwani ameshaanza kuanguka kuanguka mwenyewe uwanjani kama ana mapepo. Kwenye mechi moja huwa anaanguka mwenyewe zaidi ya mara tatu jumlisha zaidi ya mara tano anaposukumwa na wachezaji wa timu pinzani Kwa hiyo lazima Simba itataka isajili mchezaji mwingine kijana kwenye nafasi yake wakati wa dirisha kubwa wakati huo Saidoo ana mkataba kibindoni lazima alipwe pesa ndefu.

Vinginevyo tuambiwe tu Saidoo alipewa mkataba mrefu kisirisiri na sio ule tulioambiwa unaisha hili dirisha dogo
 
Mm naona mkuu utafute tu timu nyingne ya kushanibikia au umfuate huyo Baleke anakoenda ila kwa namna yoyote ile viongozi hawawezi achana na mipango yao ya kuondoa Mastriker mizigo klabuni hasa hao wa kigeni
 

View: https://twitter.com/SimbaSCTanzania/status/1747305495247908974?t=e5pi0d64iEWMm5RBMELpzA&s=19
Pole sana.

Sasa unahamia timu gani ya hapa Bongo?
 
Hamza jangwani tule tende na halua🤣
 
Bocco ni mfungaji bora wa muda wote kwenye Ligi kuu Tanzania.

Bocco hata akicheza mechi chache ana uhakika wa goli kumi kwenye Ligi pekee.

Baleke ni masikhara na mizaha tu, siku tunakung'utwa 5 alikuwa anacheka Cheka tu.

Phiri ndumba yake aliyotoka nayo Zambia imeexpire.
 
Mm naona mkuu utafute tu timu nyingne ya kushanibikia au umfuate huyo Baleke anakoenda ila kwa namna yoyote ile viongozi hawawezi achana na mipango yao ya kuondoa Mastriker mizigo klabuni hasa hao wa kigeni
nimeumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…