Jean Baleke anasepa, Simba hawana striker msimu ujao

Na YY majeraha yatamwandama!! Unaona mbali hv? Umeona nn pia kwenye maisha yako ya baadae?
Asante
 
Simba wakasahau kusajiri Mshambuliaji!

Walijikuta Wanasajiri kila mchezaji aliyehusishwa na Yanga!!!
 
Hii inaweza ikawa kwel maana hata Onyango kaondoka kimya kimya
 
Hahahaha,hii ni kipindi anajiunga kule Lebanon hapo akiwa na Chiko Ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…