Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwenye football FIFA wanasisitiza fair play, tuwe na ustaarabu.Aende tu makengeza
Huwezi kukosowa uumbaji wa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye football FIFA wanasisitiza fair play, tuwe na ustaarabu.Aende tu makengeza
Good Bays Tanzania zipo nyingi: Oyster Bay, Mbaba Bay, Speke Bay n.kHaya na hapa je?View attachment 2682067
Utaonaje ikiwa umevaa mawani ya mbao?
Fungua macho yako upate kuona mbeleNawa uso, upate kuondoa tongotongo.
Hii inaweza ikawa kwel maana hata Onyango kaondoka kimya kimyaUnaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.
Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.
Kramo hawezi kicheza CF full season.
Bocco ndio tusimzungumzie.
Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.
Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Utakapofungua macho yako usiangalie chiniTena ukinawa tumia.JIKI.
Hahahaha,hii ni kipindi anajiunga kule Lebanon hapo akiwa na Chiko UshindiUnaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.
Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.
Kramo hawezi kicheza CF full season.
Bocco ndio tusimzungumzie.
Huwezi beba ubingwa wa Ligi kwa kucheza na False 9.
Yanga tujiandae na Parade lingine.View attachment 2682043
Hahahaha,akiwa anakuja TanzaniaNa hapa je!View attachment 2682081
Good bay ndio Goodbye au macho yangu Yana tongotongoNa hapa je!View attachment 2682081
HahahahaWazungu wanasema uko kwenye denial state.
Keep the good work.
Au BayportGood bay ndio Goodbye au macho yangu Yana tongotongo