Jean Baleke anazunguka tu kuangalia match za Mikia. Mazoezi anafanya kweli?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Matches nyingi za Simba wakicheza hapa KMC Baleke Jean anaenda kuangalia. Ina maana yeye hafanyi mazoezi na wenzie?

Screenshot_2025-05-10-13-53-44-171_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2025-05-10-13-52-12-445_com.twitter.android.jpg
 
Uto sio timu ya kwenda ukitoka hapo either ndo iwe mwisho kucheza uhangaike kwanza kama mayele au wakuvurumishie majini mzururo...utazurura weee
Picha inamuonesha yuko katikati ya mashabiki wa Mbereko Fc! Na hata mtoa mada amesema huwa anaonekana kwenye mechi za Mbereko Fc aka Penati Fc tu!! Kwa hali hii inawezekana kabisa mlimrubuni kijana wa watu ili acheze chini ya kiwango, na hivyo kutimuliwa kwenye klabu ya wananchi! halafu mumsajili tena msimu ujao.

Nyinyi ni watu wa hovyo sana. Halafu Manzoki mliyetuonesha siku ya uchaguzi anasajiliwa lini?
 
Online business sio mchezo mchezo, walinunua manzoki wakaletewa mo cola
🫣
 
Habemus papam!
Habemus papam!!
Habemus papam!!!
 
Uto sio timu ya kwenda ukitoka hapo either ndo iwe mwisho kucheza uhangaike kwanza kama mayele au wakuvurumishie majini mzururo...utazurura weee
Mayele anahangaika wewe jamaa utakuwa na kirusi kichwani na si bure
 
Picha inamuonesha yuko katikati ya mashabiki wa Mbereko Fc! Na hata mtoa mada amesema huwa anaonekana kwenye mechi za Mbereko Fc aka Penati Fc tu!! Kwa hali hii inawezekana kabisa mlimrubuni kijana wa watu ili acheze chini ya kiwango, na hivyo kutimuliwa kwenye klabu ya wananchi! halafu mumsajili tena msimu ujao.

Nyinyi ni watu wa hovyo sana. Halafu Manzoki mliyetuonesha siku ya uchaguzi anasajiliwa lini?
Haya timu 8 Fc...hatuchedhi fc....cas fc....mwiko nyuma fc....niendelee majina?
Haya turudi kwny mada...
Baleke anajutaaaa kuondoka Simba bado anaipenda sana shida Simba huwa hailambi matapishi....
Sema ndo kashapewa jini kuzurura mara leo yuko mechi za mchangani mara yupo mechi za Simba.....mara nyingi haendi kwny mechi za waliomtupia majini...yani Majini Fc..
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 upo bwana Tate Mkuu
Kuhusu Manzoki mbona story zilisha expire hivi kwa timu hii unamuwaza Manzoki kweli? Anachukua nafasi ya nani pale...Muulize hilo swali profesa Mangungu akupe jibu mujaarabu yani yule ningekua PS wake tuwe tunawajibu uto kama wewe...hhhaah
 
Mayele anahangaika wewe jamaa utakuwa na kirusi kichwani na si bure
Kirusi unacho wewe....kinakunyevua nyevua...
Nimesema alihangaika mpk kuombewa na mwammposa alikaa benchi muda mrefu...mguu umevimba kumbe ni jini ametupiwa na Utopolo...au unajifanya kujisahaulisha? Ile skendo yake aliandika kwny page yake kuwaambia mumuache afanye kazi muachieni mguu wake...watu wa uto wacha wamtukane balaa...na alikiri kabisa kuwa kuna wazee wa uto na baadhi ya viongozi fulani walimwambia utaona...ndo yakatokea kama hayo...
 
Back
Top Bottom