BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,475
- 7,029
KaribuAfu nilikua nakutafuta sana, Dooh.
Bora nimekuona hapa
KaribuAfu nilikua nakutafuta sana, Dooh.
Bora nimekuona hapa
Ahsante. 🙏🙏Karibu
😂😂😂😂😂Haya timu 8 Fc...hatuchedhi fc....cas fc....mwiko nyuma fc....niendelee majina?
Haya turudi kwny mada...
Baleke anajutaaaa kuondoka Simba bado anaipenda sana shida Simba huwa hailambi matapishi....
Sema ndo kashapewa jini kuzurura mara leo yuko mechi za mchangani mara yupo mechi za Simba.....mara nyingi haendi kwny mechi za waliomtupia majini...yani Majini Fc..
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 upo bwana Tate Mkuu
Kuhusu Manzoki mbona story zilisha expire hivi kwa timu hii unamuwaza Manzoki kweli? Anachukua nafasi ya nani pale...Muulize hilo swali profesa Mangungu akupe jibu mujaarabu yani yule ningekua PS wake tuwe tunawajibu uto kama wewe...hhhaah
Nakaziayanga wanadaiwa na baleke🤣
Kuna yule Kocha Eyamel LuC aliwaita Mambwa na Mnapiga mikelele kama Manyani.Picha inamuonesha yuko katikati ya mashabiki wa Mbereko Fc! Na hata mtoa mada amesema huwa anaonekana kwenye mechi za Mbereko Fc aka Penati Fc tu!! Kwa hali hii inawezekana kabisa mlimrubuni kijana wa watu ili acheze chini ya kiwango, na hivyo kutimuliwa kwenye klabu ya wananchi! halafu mumsajili tena msimu ujao.
Nyinyi ni watu wa hovyo sana. Halafu Manzoki mliyetuonesha siku ya uchaguzi anasajiliwa lini?
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"Kuna yule Kocha Eyamel LuC aliwaita Mambwa na Mnapiga mikelele kama Manyani.
Kweli ukitathmin utajua heri uwe Mbumbumbu kuliko kuwa Sokwe au Mbwaa Ndio maaana MKALETEWA BIGIRIMANA aliyeziacha MANCITY na CHELSEA ili aje YANGA timu kubwa Duniani. Tukuulize Bigirimana aliyekuja kwenye uchaguzi wenu alikuwa na Kadi Namba ngapi? Leo yuko wapi? Nyani hana kumbukumbu ndio maana unaona kibanzi cha mwenzako wewe chako huoni.
Leo XIVHabemus papam!
Habemus papam!!
Habemus papam!!!
Dah! Unamaanisha hivi?Kuna yule Kocha Eyamel LuC aliwaita Mambwa na Mnapiga mikelele kama Manyani.
Kweli ukitathmin utajua heri uwe Mbumbumbu kuliko kuwa Sokwe au Mbwaa Ndio maaana MKALETEWA BIGIRIMANA aliyeziacha MANCITY na CHELSEA ili aje YANGA timu kubwa Duniani. Tukuulize Bigirimana aliyekuja kwenye uchaguzi wenu alikuwa na Kadi Namba ngapi? Leo yuko wapi? Nyani hana kumbukumbu ndio maana unaona kibanzi cha mwenzako wewe chako huoni.
Majini mzururo🤣🤣🤣🤣Uto sio timu ya kwenda ukitoka hapo either ndo iwe mwisho kucheza au uhangaike kwanza kama mayele au wakuvurumishie majini mzururo...utazurura weee