Jean Baleke anazunguka tu kuangalia match za Mikia. Mazoezi anafanya kweli?

😂😂😂😂😂
 
Mchezaji wa mpira kwenda uwanjani sehemu yake ya kazi anahangaika ila wewe unaemfatilia yeye hauangaiki ambae hata kupiga dana Dana sita ni mtihani kweli kazi ipo..
 
Kuna yule Kocha Eyamel LuC aliwaita Mambwa na Mnapiga mikelele kama Manyani.

Kweli ukitathmin utajua heri uwe Mbumbumbu kuliko kuwa Sokwe au Mbwaa Ndio maaana MKALETEWA BIGIRIMANA aliyeziacha MANCITY na CHELSEA ili aje YANGA timu kubwa Duniani. Tukuulize Bigirimana aliyekuja kwenye uchaguzi wenu alikuwa na Kadi Namba ngapi? Leo yuko wapi? Nyani hana kumbukumbu ndio maana unaona kibanzi cha mwenzako wewe chako huoni.
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Aliahidiwa mengi sana na "Injinia" lakini yote hayo ni sifuri.
Simba maisha yanasonga na furaha ipo juu.
Nadhani ameijua sura halisi ya Utopolo United.
 
Dah! Unamaanisha hivi?
 
Uto sio timu ya kwenda ukitoka hapo either ndo iwe mwisho kucheza au uhangaike kwanza kama mayele au wakuvurumishie majini mzururo...utazurura weee
Majini mzururo🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…