babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Mkuu iyo taarifa ya baleke kutangazwa Yanga umeitoa kwny Yanga app ipi? Maana hakuna iyo taarifa ya balekeNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu iyo taarifa ya baleke kutangazwa Yanga umeitoa kwny Yanga app ipi? Maana hakuna iyo taarifa ya balekeNdio
Sawa mkuu 😂😁 basi sio mchezaji wa yangaMkuu iyo taarifa ya baleke kutangazwa Yanga umeitoa kwny Yanga app ipi? Maana hakuna iyo taarifa ya baleke
Sijasema kuwa baleke sio mchezaji wa Yanga, lakini mbona unapotosha kitu ambacho sicho? Iyo taarifa ya baleke kutambulishwa Yanga umeitoa wapi?Sawa mkuu [emoji23][emoji16] basi sio mchezaji wa yanga
Kwenye app ya Simba basi mkuuSijasema kuwa baleke sio mchezaji wa Yanga, lakini mbona unapotosha kitu ambacho sicho? Iyo taarifa ya baleke kutambulishwa Yanga umeitoa wapi?
Mkuu punguza uongo, Baleke bado hajatangazwa YangaKwenye app ya Simba basi mkuu
Wewe roho imekuuma SanaMkuu punguza uongo, Baleke bado hajatangazwa Yanga
Muhasibu kwenye ubora wakeJean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Huyu ndio kusema ni Masandawane FC au?
Huyu ndio kusema ni Masandawane FC au?