Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Mjifunze kukubali ukweli mechi zenu nyingi mnazocheza na matawi yenu huwa mnapangiwa vikosi dhaifu hivi mnavyozidi kudanganyana ndivyo mnavyozidi kupotezana, ndio maana kimataifa hamna consistency kama mngekuwa na ubora huo basi cafcl msingeshindwa kuvuka kundi jepesi kama lile, maana katika makundi yote kundi lenu ndio lilikuwa na afadhali au wewe niambie kama mlishindwa kuvuka lile kundi unadhani mngevuka lipi katika ya yale mengine yaliyobaki
 
Hii inachoma km pasi ya umeme, woiiih

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Na mkashindwa kubeba kombe, na nyie ingieni robo CAFCL mara 3 back to back.
Na hamuwezi kamwee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya hayo aliyofunga 6 ni ya kutenga yeye na kipa yaani penalty.
Ndugu wanahabari, Tumeamua kwamba hatutambui magoli ya penati.
sddefault.jpg
 
Usiseme tu kafikisha goli 12,,kwenye hizo 12 toa goli 5 za penalty anabaki na ngapi? Goli za penalty inahesabiwa alama 1 na goli ambazo sio za penalty ni alama 2, nakwambia tu ufanye mahesabu yako mapema usije kuona ameonewa badae ikitokea wamelingana magoli na wenzake,,maana wenzake Awana goli za penalty!
Azizi k angepata basi kama ni rahisi
 
Back
Top Bottom